Kijana Ardi Rizal , wenye umri wa miaka mitano tu alichukua uamzi mziki sana wakuacha kuvuta sigara kutokana na umri wake mdogo sana. mwaka wa 2010 mtoto huyu alikua gumzo mtaani wakati hadithi yake iliripotiwa katika vyombo vya habari : Akiwa na miaka 2 mtoto huyu alikua na uwezo wakuvuta cigara 40 kwa siku moja. Ardi Rizal uzani anapima vilo 25 "Yeye anakula mengi amesema mama yake katika kurasa ya jua. Ni kweli ni vigumu kuacha kula ... " familia yake wametoa wito kwa lishe ambao eda mlo wa matunda na mboga.
Aucun commentaire