Unaambiwa kinachoshindikana ni kumtengeneza binadamu mpya tu kwenye hii dunia, Huko Pemba imezinduliwa Hoteli mpya mwezi huu yenye vyumba 16 iitwayo The Manta Resort ikiwa designed by Swedish Company Genberg Underwater Hotels kwa muujibu wa CNN.
Yani ukiwa unalala chumbani unaona samaki kabisa kupitia ambapo gharama yake kulala kwa watu wa wili ni dollar za ki marekani 1500 ambayo ni zaidi ya milioni mbili za Kitanzania na kwa mtu umoja ni dollar 900 za ki marekani.
Aucun commentaire