Cinema

Flexslider

    Ni Cheni Ya Dhahabu Yenye Uzito Wa Kilo 5, Unamjua Star Anayeimiliki? Fahamu Hapa

    Kama unamfuatilia Jay Z kwa makini na wewe ni shabiki wake, Basi definitely utakuwa ume-note bonge moja la chain ambalo mkali huyu amekuwa akilitupia katika events mbalimbali, hata ndani ya video mpya ya Holy Grail, na exclusively kupitia www.BUZZMENYA.BLOGSPOT.com, haya ndio mambo ya kushangaza ambayo yanaihusu chain hii.

     
    Chain hii imetengenezwa na ma-dealer wakubwa kabisa wa vitu vya thamani ambao wanajulikana kama Rafaello & Co na nin dhahabu yenye uzito wa kilogram 5, so ukimwona mchizi ameitupia ujue amebeba mzigo wa maana.

    Hiyi ndiye moja ya mali anayo miliki Msani maharufu kutoka umarekani Jay-z

Kuliner